Mfano ukiwa unakuta na namba Fulani muda mwingi .
Mfano unakutana na namba 7
Unaweza kuitumia hii namba katika kumanifest jambo fulani
Mfano ntaenda kuomba Kazi tarh 07
Ntatuma CV zangu tarh 07
Ntaongea na Boss wangu tarh 07
Ntafungua biashara yangu tarh 07
So hiyo tarh Saba unaweza kuipa nguvu na kuifanya Kama luckiest number yako . in manifesting stuffs.
Katika universe - huwa kuna namna unapata sign ,kabla jambo halijatokea so maybe be ur sign inatumwa kupitia namba wengine macho hucheza mwingine hukutana na aina fulani ya wadudu n.k