Wewe uliambiwa nini kwanza?Habarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue Kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana nimeangalia saa kwenye simu yangu nikakuta ni saa 11:11 sikutilia maanani Sana
Kilichonishangaza Leo pia nmeulizwa mda na mtu Ile naangalia mda nikakuta ni saa 11:11
Ndiyo mawazo yakaniijia kuwa huenda sio kitu Cha kawaida je Kwa wataalamu mnaofahamu katika number of angels 11:11 Huwa Ina maanisha kitu Gani?
May be maana nilikuwa mlevi Sana ila sasa Nina miezi mitatu sitamani pombeMalaika wanakueleza juu ya uwepo wao karibu na wewe katika hali ya kukulinda.
Pia inaweza kuwa ni tangazo la mabadiliko juu ya mfumo wa maisha yako ambayo yanakujia hivi karibuni.
Hongera kwa kutilia maanani hili maana wengi tunapisha na encounters za kiroho kwa kutokuwa serious nazo.
Naweka kambi hapa nazipenda sana hizi madaHabarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana nimeangalia saa kwenye simu yangu nikakuta ni saa 11:11 sikutilia maanani Sana
Kilichonishangaza Leo pia nmeulizwa mda na mtu Ile naangalia mda nikakuta ni saa 11:11
Ndiyo mawazo yakaniijia kuwa huenda sio kitu Cha kawaida je Kwa wataalamu mnaofahamu katika number of angels 11:11 Huwa Ina maanisha kitu Gani?
Modern man anachanganywa na mawazoHabarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana nimeangalia saa kwenye simu yangu nikakuta ni saa 11:11 sikutilia maanani Sana
Kilichonishangaza Leo pia nmeulizwa mda na mtu Ile naangalia mda nikakuta ni saa 11:11
Ndiyo mawazo yakaniijia kuwa huenda sio kitu Cha kawaida je Kwa wataalamu mnaofahamu katika number of angels 11:11 Huwa Ina maanisha kitu Gani?
Watu wanaoamini katika nambari hizi wanaamini kwamba 11:11 ni ujumbe kutoka kwa ulimwengu wa kiroho au malaika, unaoweza kumaanisha:May be maana nilikuwa mlevi Sana ila sasa Nina miezi mitatu sitamani pombe
Fafanua zaidi
Nikuulize mkuu.Naona chini watu wanafunguka
Mlevi kabisa Hadi kazini nilipata misala kisa ulevi ila saivi nikiona pombe nasikia kichefu chefu kabisaWatu wanaoamini katika nambari hizi wanaamini kwamba 11:11 ni ujumbe kutoka kwa ulimwengu wa kiroho au malaika, unaoweza kumaanisha:
Ingawa haya ni baadhi ya tafsiri zinazojulikana, nambari hizi mara nyingi hutegemea imani binafsi na uzoefu wa mtu binafsi.
- Uongofu na Mabadiliko: Inaweza kuwa ishara ya mabadiliko makubwa au mwanzo mpya katika maisha yako.
- Uhamasishaji wa kiroho: Watu wengine huamini kuwa kuona 11:11 kunahusishwa na kuinuka kwa ufahamu wa kiroho au kuwa katika hali ya juu ya ufahamu.
- Uwiano wa Ulimwengu: Nambari hii inahusishwa na usawaziko wa kiroho, kuunganishwa na maelewano ya ulimwengu, au kujua kwamba uko mahali sahihi kwa wakati sahihi.
- Ujumbe wa Malaika: Inasemekana kuwa ni njia ya malaika au viumbe wa kiroho kukuambia kuwa wako karibu, wakikusaidia au kukulinda.
Hongera kwa kuacha pombe naomba kufahamu ulikuwa mlevi au mnywaji tu.?