Elezea kidogo kwenye macho kucheza mkuuMfano ukiwa unakuta na namba Fulani muda mwingi .
Mfano unakutana na namba 7
Unaweza kuitumia hii namba katika kumanifest jambo fulani
Mfano ntaenda kuomba Kazi tarh 07
Ntatuma CV zangu tarh 07
Ntaongea na Boss wangu tarh 07
Ntafungua biashara yangu tarh 07
So hiyo tarh Saba unaweza kuipa nguvu na kuifanya Kama luckiest number yako . in manifesting stuffs.
Katika universe - huwa kuna namna unapata sign ,kabla jambo halijatokea so maybe be ur sign inatumwa kupitia namba wengine macho hucheza mwingine hukutana na aina fulani ya wadudu n.k
Kama ni kweli karibu dunia ya kweli😂Habarini za mda huu wakuu?
Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli?
Jana nimeangalia saa kwenye simu yangu nikakuta ni saa 11:11 sikutilia maanani Sana
Kilichonishangaza Leo pia nmeulizwa mda na mtu Ile naangalia mda nikakuta ni saa 11:11
Ndiyo mawazo yakaniijia kuwa huenda sio kitu Cha kawaida je Kwa wataalamu mnaofahamu katika number of angels 11:11 Huwa Ina maanisha kitu Gani?
Uwenda kuna kitu hapa ila wengi tunapuuzia sna naamini kwny maisha hakuna jambo linakuja bahat mbyaMfano ukiwa unakuta na namba Fulani muda mwingi .
Mfano unakutana na namba 7
Unaweza kuitumia hii namba katika kumanifest jambo fulani
Mfano ntaenda kuomba Kazi tarh 07
Ntatuma CV zangu tarh 07
Ntaongea na Boss wangu tarh 07
Ntafungua biashara yangu tarh 07
So hiyo tarh Saba unaweza kuipa nguvu na kuifanya Kama luckiest number yako . in manifesting stuffs.
Katika universe - huwa kuna namna unapata sign ,kabla jambo halijatokea so maybe be ur sign inatumwa kupitia namba wengine macho hucheza mwingine hukutana na aina fulani ya wadudu n.k
Maswali lazima yawe mengi sababu hiyo kitu ni zaidi ya scienceKwamba nilikuwa sipo Dunia halisi?
Elezea kidogo kwenye macho kucheza mkuu
Natamani kujifunza zaidi
Zimeshawahi kukutokea wewe?Malaika wanakueleza juu ya uwepo wao karibu na wewe katika hali ya kukulinda.
Pia inaweza kuwa ni tangazo la mabadiliko juu ya mfumo wa maisha yako ambayo yanakujia hivi karibuni.
Hongera kwa kutilia maanani hili maana wengi tunapisha na encounters za kiroho kwa kutokuwa serious nazo.
Ndio niliandika kutokana na uzoefuZimeshawahi kukutokea wewe?