Kuna ukweli gani kuhusu wimbo wa Ali Kiba 'Mac Muga' alimuimbia Jose Mtambo?

Kuna ukweli gani kuhusu wimbo wa Ali Kiba 'Mac Muga' alimuimbia Jose Mtambo?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakubwa katika nyimbo ninayoipenda sana binafisi ni ya alikiba Mac Muga

Mashairi mazuri , vina vimepangiliwa ujumbe mzuri

Katika kufukunyua na kufuatilia nimepata nusu taarifa kuwa alieimbiwa huo wimbo ni RAPPER JOSE MTAMBO

Ambae sasa hivi amekuwa teja sana kutokana na msongo wa mawazo tunalewa nae sana SMART GIN Kigamboni ( MACHAVW) na gongo tunakunywa nae
 
Wakubwa katika nyimbo ninayoipenda sana binafisi ni ya alikiba Mac muga

Mashairi mazuri , vina vimepangiliwa ujumbe mzuri
Katika kufukunyua na kufuatilia nmepata nusu taarifa kuwa alieimbiwa iyo nyimbo ni RAPPER JOSE MTAMBO

Ambae saizi amekuwa teja sana kutokana na msongo wa mawazo tunalewa nae sana SMART GIN kigamboni ( MACHAVW)

na gongo tunakunywa nae
Dah we snich jamaa kunywa na wew pombe unaona simple.........respect him Jose ni master....
 
Wakubwa katika nyimbo ninayoipenda sana binafisi ni ya alikiba Mac muga

Mashairi mazuri , vina vimepangiliwa ujumbe mzuri
Katika kufukunyua na kufuatilia nmepata nusu taarifa kuwa alieimbiwa iyo nyimbo ni RAPPER JOSE MTAMBO

Ambae saizi amekuwa teja sana kutokana na msongo wa mawazo tunalewa nae sana SMART GIN kigamboni ( MACHAVW)

na gongo tunakunywa nae
Jose ni mtambo kweli nishamkuta kalala machava uwanjani alafu kuna maji. Kiufupi hata familia yake inamchezea mwamba maana mtaa anaokaa kuna waganga sio mchezo
 
Jose ni mtambo kweli nishamkuta kalala machava uwanjani alafu kuna maji. Kiufupi hata familia yake inamchezea mwamba maana mtaa anaokaa kuna waganga sio mchezo
Anakunywa sana cucca na smart gin
 
Mwanzoni nilijua hiyo ngoma inamtaja Mark Muga (Muganyizi) nikahisi kuna mtu anaitwa hivyo na ni true story. Kumbe ni Mac Muga, ila itakuwa true story kweli.

Kwenye sanaa kuna sintofahamu ukiiacha inaleta mvuto wake. Waandishi maarufu wa vitabu kuna characters walikuwa wanawaacha ni gumzo mpaka leo, kina Michelangelo na masanamu yao yanaleta mixed feelings hadi leo.
 
Kwan mziki hakuna kustaafu mbona mnawanote kama wameanguka Acheni roho mbaya, hata kwenyempira Kuna kustaafu mtu anataoka ulaya anakuja kumalizia Soka Ndondo cup
 
Back
Top Bottom