Mkongwee
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 759
- 1,656
Mac Muga ni mtu halisi kabisa sio story ya kutunga, miaka ya tisini alikua msanii hapa bongo baadae akaenda South Africa, aliyoyaimba Ally Kiba ni ukweli mtupu na nimewahi muona huyooo mtuuMwanzoni nilijua hiyo ngoma inamtaja Mark Muga (Muganyizi) nikahisi kuna mtu anaitwa hivyo na ni true story. Kumbe ni Mac Muga, ila itakuwa true story kweli.
Kwenye sanaa kuna sintofahamu ukiiacha inaleta mvuto wake. Waandishi maarufu wa vitabu kuna characters walikuwa wanawaacha ni gumzo mpaka leo, kina Michelangelo na masanamu yao yanaleta mixed feelings hadi leo.