Kuna ukweli gani kuhusu wimbo wa Ali Kiba 'Mac Muga' alimuimbia Jose Mtambo?

Sio mchezo na akikukuta bondeni umepozi anakuomba hela unaweza sema mtu fulani asie na connection ila tunaomjua tunaona pombe ndio inampoteza mazima. Kuna kipindi roma alikua anamfuata minazi kinda pale na alikua haondoki mpka anunuliwe pombe kali
Duh
 
Ni mim mac muga
 
Aisee ulivyolitaja hilo jina umenikumbusha jamaa yangu Muga hajui kusoma wala kuandika.Kumjua mpaka uwe na PHD msafiii,maneno mengi ila hata kuweka vocha haliwezi.
 
Aisee ulivyolitaja hilo jina umenikumbusha jamaa yangu Muga hajui kusoma wala kuandika.Kumjua mpaka uwe na PHD msafiii,maneno mengi ila hata kuweka vocha haliwezi.
Mwanangu wapo wengi tu mbona
 
Mac Muga alikuwa msanii wa hip-hop Kariakoo zamani Sana kabla hajaenda South Africa
Enzi hizo kina Alikiba watoto Sana ..zaidi ya miaka 20 iliyopita au 30
Binafsi namjua Mac Muga jina lake halisi alikuwa anaitwa Mgassa Mgeni..
Alisoma shule ya msingi Gerezani na hao kina Mr Blue na wasanii wengine WA kkoo...Kina Dully Sykes ,Guru.. etc..
Haihusiani kabisa na Jose Mtambo..
Kwanza wakati huo wimbo unatoka Jose Mtambo hakuwa amechoka hivi sasa....
 

Sure mi navyofaham wakati Kiba anatoa Mac Muga bado Jose Mtambo alikua na hit song zake radio na bado alikua anapiga show inshort alikua hajapotea kiasi cha kuimbwa kwenye maudhui ya Mac Muga
 
Jose mtambo sio meneja wa Hamonaizi? πŸ˜„ πŸ˜„ πŸ˜„
 
Sisi kpindi tupo Keko tulikuwa tunamjua sana, kabla pale mataa ya chang'ombe Veta hakuna barabara ya kwenda Karume tunaruka ukuta wa reli kutembea kwa miguu hadi kko. Alikuaa maarufu sana na majinsi na raba za kupanda
 
Jose ni mtambo kweli nishamkuta kalala machava uwanjani alafu kuna maji. Kiufupi hata familia yake inamchezea mwamba maana mtaa anaokaa kuna waganga sio mchezo
Dah!...hamna mwamba wa kumsanua jamaa ahame tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…