Mac Muga ni mtu halisi kabisa sio story ya kutunga, miaka ya tisini alikua msanii hapa bongo baadae akaenda South Africa, aliyoyaimba Ally Kiba ni ukweli mtupu na nimewahi muona huyooo mtuuMwanzoni nilijua hiyo ngoma inamtaja Mark Muga (Muganyizi) nikahisi kuna mtu anaitwa hivyo na ni true story. Kumbe ni Mac Muga, ila itakuwa true story kweli.
Kwenye sanaa kuna sintofahamu ukiiacha inaleta mvuto wake. Waandishi maarufu wa vitabu kuna characters walikuwa wanawaacha ni gumzo mpaka leo, kina Michelangelo na masanamu yao yanaleta mixed feelings hadi leo.
Kwa walio karibu nae wanasema familia inahusika sasa familia ni kubwa haijulikani ni nani hasa ila ni maneno ya wadau tu huenda kweli au stori tu. Lakini ukitizama vizuri sioni sababu ya yeye kunywa kiasi kile na ana watu wanaomzunguka ambao wangeweza mpa ushauri asipoteaneDah!...hamna mwamba wa kumsanua jamaa ahame tu.
NaOngezea TANDAMTI na MUHEZAMacmuga mtoto wa kko
Tandamti Street
Ova
Hata mimi ndio nilisikia hivo kuwa ni jamaa wa kariakoo huko hukoMacmuga mtoto wa kko
Tandamti Street
Ova
SafiMac Muga alikuwa msanii wa hip-hop Kariakoo zamani Sana kabla hajaenda South Africa
Enzi hizo kina Alikiba watoto Sana ..zaidi ya miaka 20 iliyopita au 30
Binafsi namjua Mac Muga jina lake halisi alikuwa anaitwa Mgassa Mgeni..
Alisoma shule ya msingi Gerezani na hao kina Mr Blue na wasanii wengine WA kkoo...Kina Dully Sykes ,Guru.. etc..
Haihusiani kabisa na Jose Mtambo..
Kwanza wakati huo wimbo unatoka Jose Mtambo hakuwa amechoka hivi sasa....
Hii nchi imeelemewa na vilaza
Ukilaza upo wapi apo
Tulia weweee. Wewe pia ni kilaza tuu.Unajua we kijana kama wewe na ukoo wako ni vilaza, samahani sana usituunganishe na sisi kwenye hiyo laana yenu ya ukoo!
Kuna jamaa mmoja miaka kadhaa sasa huwa anakuja umachingani kwangu Posta. Wakati nafanya biashara ya cd, alishawahi niletea cd aniuzie. Ila siku hizi huwa anakuja mara moja moja sana. Wakati anakuja kijiweni kwangu, wakongwe niliowakuta kijiweni walinishtua kuwa huyo jamaa ndiye MacMuga aliyeimbwa na Ali Kiba. Sikuwahi kumuuliza. Kuna wakati huwa ananiomba nauli. Na anaonekana ni mzito hivi kiakili.Sisi kpindi tupo Keko tulikuwa tunamjua sana, kabla pale mataa ya chang'ombe Veta hakuna barabara ya kwenda Karume tunaruka ukuta wa reli kutembea kwa miguu hadi kko. Alikuaa maarufu sana na majinsi na raba za kupanda