Dj Aiman
Member
- Dec 21, 2022
- 23
- 15
Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira.
Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi.
Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya 1961 nchi nyingi za Afrika zilianza kupata uhuru lakini bado walibakia na mifumo mingi ya kizungu kama mfumo wa elimu ambao kwa maoni yangu naona kama inasababisha ukoloni mamboleo kwani mfumo huo wa elimu uposana katika makaratasi nasio vitendo angali nchi nyingi za barani ulaya wao wanasoma kwa vitendo.
Nchi nyingi za Afrika tumekua na wasomi wengi wazuri wa kujenga hoja kuhusu jambo fulani lakini tukija kwenye utekelezaji tunashindwa,Je ni wakati sasa wa nchi za Afrika kurudi kwenye mfumo wetu wa asili wa elimu kwa vitendo na sio makaratasi?