HAHAHAA si unajua 80% ya watz hawana habari kama kuna hizi wax figure duniani kote kwa Madam Tussauds. Mime niliona kwenye profile yake facebook jamaa wanampongeza kwa kupiga picha na mastaa kibao kama Amita Bachan, Britney spears, Leornado dicaprio na wengine wengi. Ila Diamond aliwakaukia na kusema tu THANX bila kufafanua ni wax figure....Is funny.