Kuna ukweli kuhusu hili wakuu?

Wanawake huwa wanaletwa na Mungu maishani mkuu,bila kujali ubinafsi wao!

Ataletwa TU mkuu utajikuta upon kwenye mfumo!asili ndio itakutafutia!

Kwani huyo aliekutoka ulimtafuta!!?SI alikuja tu maishani!!?
 
Nilivyosoma c
Asee ndugu acha kabisa haya mambo unaweza ukamuambia mtu mwingine akapona ni riwaya tu,unakaa unajiuliza wakati mwingine wazazi wako kwanini walikuzaa unahisi umejiuliza swali la kijinga
 
Pole mkuu na hongera kwa kuyavuka yote
 
Mkuu kwa traditional men kulia sio sehemu ya maisha maana tunakuzwa kuamini hivyo kwa sababu mwanaume ni nguzo ya familia, kwa hiyo familia ikipitia magumu na ukaanza kulia lia au kuwa emotional. Lazma familia itakosa direction au kupotea

Huo sio udhaifu ila ni uimara, lakini upande wa pili wa shilingi ni kweli wanaume wengi tunaupata ukichaa au kufariki mapema kwa sababu hatujali mrundikano wa maumivu yetu na hatulii au hata kutumia njia nyingine ya kupata ahueni. Tunapuuzia tu

Binafsi yangu chozi sio case 😁😁, ila siwezi kulia mbele za watu na hata kama nimelia masaa usiku, nikiamka huwa naendelea na maisha maana kiukweli hakuna anaejali maumivu yako. Yakizidi, nina marafiki wachache sana wa kuwashirikisha ili nipate relief au solution.

Hivyo kila mtu ana namna yake
 
pole sana mkuu... .. heri yako uliwahi kusema na moyo wako mapemaaa... .. imesaidia.. lakini kwa wengine .. ..kuna mateso ambayo kwa ambaye hayajamfika hawe pata picha!
Mungu azidi kukuongoza na wengine walio shidani awafanyie wepesi..
Tunaoishi .motoni tupo wengi , ni vile mtu unaungua kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…