MWL RAMADHANI ATHUMANI
Member
- Jun 8, 2024
- 85
- 105
Wanawake huwa wanaletwa na Mungu maishani mkuu,bila kujali ubinafsi wao!Yah man kwa Sasa sina wazo hata chembe la kutafuta mwanamke mwingine wa kuishi nae! Sitaki kujaza mambo mengine kichwani nashukuru watoto ni wakubwa wanaelewa ninayoyapitia hivyo na wao wamejivika uhalisia wanajua tunayopitia!
Mimi nachopenda niwaone madogo wanakua vizuri kama watoto wengine na Mimi pia niwe na nguvu na ufahamu wa kuwashika mikono
Ataletwa TU mkuu utajikuta upon kwenye mfumo!asili ndio itakutafutia!
Kwani huyo aliekutoka ulimtafuta!!?SI alikuja tu maishani!!?