Hapo chang'ombe nilishawahi fika, utaenda kupewa vyombo utembeze.habari,
je kuna ukweli wowote kuhusiana na sms iliyotumwa tarehe 22/08/2023 kuhusiana na usahili?
sms inasomeka hivi, "Tafadhali fika VETA Chang'ombe kwa usahili tarehe 25/08/2023 saa moja asubuhi ukiwa na kitambulisho kati ya hivi, NIDA/mpiga kura/leseni ya udereva/barua ya serikali ya mtaa na picha 3 kwa mawasiliano zaidi 076898** au 076898**"
nimejaribu kupiga hizo namba hazipatikani kabisa. sms ilikuja bila namba na imeandikwa "KCB". mwenye uelewa na hili naomba anifahamishe.
kwani huu si ni usahili wa SIDO mafunzo ya usindikaji matunda?Hapo chang'ombe nilishawahi fika, utaenda kupewa vyombo utembeze.
Sijui aisee, ila nilifika kwenye hizo office zao mwaka juzi. Maeneo ni hayo hayo aliyoandika mtoa mada. Nilichokutana nacho 🚮kwani huu si ni usahili wa SIDO mafunzo ya usindikaji matunda?
duh pole sana mimi kuna mtu jana kanionesha hiyo sms ngoja aende anipe mrejeshoSijui aisee, ila nilifika kwenye hizo office zao mwaka juzi. Maeneo ni hayo hayo aliyoandika mtoa mada. Nilichokutana nacho 🚮
Wanadanganya supermarket😂😂😂duh pole sana mimi kuna mtu jana kanionesha hiyo sms ngoja aende anipe mrejesho
acha inyeshe hiyo kesho tuone panapovujaWanadanganya supermarket😂😂😂
🤣🤣🤣acha inyeshe hiyo kesho tuone panapovuja