Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Bara ya wapi....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sema mimi ushanipa limit ya kukuhoji mzee bora ninyamaze πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kuweni na amani na Wazee

Sisi ni tunu ya Nchi πŸ€—
 
Wazee tumezoea utani tu, hata miaka ile tunamfurusha Iddi Amini tukikaa kwenye yale Mahandaki ilikuwa tunapiga stori ili kupunguza hofu ya Vita.

Hata Kwa wajukuu zangu ni hivyo tu πŸ€—
Umeona sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Et wajukuu zako daah
 
Linapokuja suala la kupiga marufuku tabia flani isijirudie huwa natumia lugha kali kuanzia matamshi hadi body language mkuu
Sawa sawa mkuu hapo nimekuelewa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duuh hapo kwa body language sasa
 
Sawa sawa mkuu hapo nimekuelewa sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duuh hapo kwa body language sasa
Hiyo usishuhudie kwa macho, hata mimi siipendi hatua hiyo
 
Hiyo usishuhudie kwa macho, hata mimi siipendi hatua hiyo
Aaaah vizuri pia ndio inavotakiwa mambo hatua kwa hatua...
Na busara zaidi inahitajika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa wengi wanaweza kukufanya usitamani kabisa kuoa mana hawana msimamo vijana wengi wameharibiwa maisha na wanawake hao atakubali kuolewa mpaka ajihakikishie upo vizuri kiuchumi bila hivyo utakuchuna zikiisha anapiti hivi
Ndiyo maana wengine hushauri Umri wa Mwanaume kuoa iwe baada ya 30, walau unaweza kuwa umeanza kupata nafuu ya maisha na huyo Mkeo awe umempita zaidi ya miaka 7.

Ingawa kwa Wanawake wa Pwani, wengi hata ukiwa na kipato cha wastani kuwezesha kula na umeweza kupanga chumba anaweza akakuvumilia na mkaanzisha familia.

Ni kama hawanaga Makuu wale mabinti wa Kule
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” daaah hii ndo imetokea kwa ex wangu...
20-24 Akasema haolewi mimi mpaka nijitafute na nijipate
ila huko alipoenda akawa mke wa pili
Jamaa litakua na mpunga sana aloo
 
Jamaa litakua na mpunga sana aloo
Nasikia jamaa alinipiga overtake ya kibabe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani aliwahi kwenda kuwashikisha ukweni kibunda cha maana..
Ni huko kusini ndani ndani...
 
Nlitaka niweke comment ngumu ila ngoja niache kuna demu namfukuzia
 
Umeona sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Et wajukuu zako daah
Ukishakuwa na Watoto wengi tegemea kupata Wajukuu wengi pia.

Si unajua huku Kijijini tumezoea kuzaa Watoto 10 plus πŸ€ͺ
 
Mtutumie mapema kabla hatujaanza kutoza Consultancy Fee, maana tumekuwa Wachache Nchi nzima πŸ€—
Mi ni moja wa kijana ambaye takutumia ipasavyo na kwa yoyote atakae kuletea habari za ajabu takua kifua mbele kumuadabisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ€πŸ€
 
Ukishakuwa na Watoto wengi tegemea kupata Wajukuu wengi pia.

Si unajua huku Kijijini tumezoea kuzaa Watoto 10 plus πŸ€ͺ
Wajukuu muhimu sana..
Ila humu una watoto tuu..
Wajukuu bado sana au naongopa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aaaah vizuri pia ndio inavotakiwa mambo hatua kwa hatua...
Na busara zaidi inahitajika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijanyimwa vyote mkuu najua;
  • ujinga ninao sana.
  • na mahali pa kutumia busara ninayo sana na unaweza kusema..huyu sasa ni mtu.

Kila kitu nakitumia mahala sahihi na kwa muda sahihi...ujumla wa maneno haya huitwa hekima
 
Nasikia jamaa alinipiga overtake ya kibabe...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani aliwahi kwenda kuwashikisha ukweni kibunda cha maana..
Ni huko kusini ndani ndani...
Hahaha noma sana masta hii tuichukulie kama motivation ya kua mabilionea kabla ya kurudi kwa mola 😁😁
 
Sijanyimwa vyote mkuu najua;
  • ujinga ninao sana.
  • na mahali pa kutumia busara ninayo sana na unaweza kusema..huyu sasa ni mtu.

Kila kitu nakitumia mahala sahihi na kwa muda sahihi...ujumla wa maneno haya huitwa hekima
Ukiletewa ujinga wewe una fanya ku square sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha noma sana masta hii tuichukulie kama motivation ya kua mabilionea kabla ya kurudi kwa mola 😁😁
Daaah aiseeee jamaa alioa mke wangu ujue πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€πŸ€πŸ€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…