Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Wazee tumezoea utani tu, hata miaka ile tunamfurusha Iddi Amini tukikaa kwenye yale Mahandaki ilikuwa tunapiga stori ili kupunguza hofu ya Vita.

Hata Kwa wajukuu zangu ni hivyo tu 🤗
Umeona sasa 😂😂😂😂😂
Et wajukuu zako daah
 
Linapokuja suala la kupiga marufuku tabia flani isijirudie huwa natumia lugha kali kuanzia matamshi hadi body language mkuu
Sawa sawa mkuu hapo nimekuelewa sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Duuh hapo kwa body language sasa
 
Hawa wengi wanaweza kukufanya usitamani kabisa kuoa mana hawana msimamo vijana wengi wameharibiwa maisha na wanawake hao atakubali kuolewa mpaka ajihakikishie upo vizuri kiuchumi bila hivyo utakuchuna zikiisha anapiti hivi
Ndiyo maana wengine hushauri Umri wa Mwanaume kuoa iwe baada ya 30, walau unaweza kuwa umeanza kupata nafuu ya maisha na huyo Mkeo awe umempita zaidi ya miaka 7.

Ingawa kwa Wanawake wa Pwani, wengi hata ukiwa na kipato cha wastani kuwezesha kula na umeweza kupanga chumba anaweza akakuvumilia na mkaanzisha familia.

Ni kama hawanaga Makuu wale mabinti wa Kule
 
Jamaa litakua na mpunga sana aloo
Nasikia jamaa alinipiga overtake ya kibabe...😂😂😂😂
Yaani aliwahi kwenda kuwashikisha ukweni kibunda cha maana..
Ni huko kusini ndani ndani...
 
Nlitaka niweke comment ngumu ila ngoja niache kuna demu namfukuzia
 
Mtutumie mapema kabla hatujaanza kutoza Consultancy Fee, maana tumekuwa Wachache Nchi nzima 🤗
Mi ni moja wa kijana ambaye takutumia ipasavyo na kwa yoyote atakae kuletea habari za ajabu takua kifua mbele kumuadabisha 😂😂😂🙏🙏🤝🤝
 
Ukishakuwa na Watoto wengi tegemea kupata Wajukuu wengi pia.

Si unajua huku Kijijini tumezoea kuzaa Watoto 10 plus 🤪
Wajukuu muhimu sana..
Ila humu una watoto tuu..
Wajukuu bado sana au naongopa...😂😂😂😂
 
Aaaah vizuri pia ndio inavotakiwa mambo hatua kwa hatua...
Na busara zaidi inahitajika 😂😂😂
Sijanyimwa vyote mkuu najua;
  • ujinga ninao sana.
  • na mahali pa kutumia busara ninayo sana na unaweza kusema..huyu sasa ni mtu.

Kila kitu nakitumia mahala sahihi na kwa muda sahihi...ujumla wa maneno haya huitwa hekima
 
Nasikia jamaa alinipiga overtake ya kibabe...😂😂😂😂
Yaani aliwahi kwenda kuwashikisha ukweni kibunda cha maana..
Ni huko kusini ndani ndani...
Hahaha noma sana masta hii tuichukulie kama motivation ya kua mabilionea kabla ya kurudi kwa mola 😁😁
 
Sijanyimwa vyote mkuu najua;
  • ujinga ninao sana.
  • na mahali pa kutumia busara ninayo sana na unaweza kusema..huyu sasa ni mtu.

Kila kitu nakitumia mahala sahihi na kwa muda sahihi...ujumla wa maneno haya huitwa hekima
Ukiletewa ujinga wewe una fanya ku square sio 😂😂😂😂😂
 
Hahaha noma sana masta hii tuichukulie kama motivation ya kua mabilionea kabla ya kurudi kwa mola 😁😁
Daaah aiseeee jamaa alioa mke wangu ujue 😂😂😂😂🤝🤝🤝
 
Back
Top Bottom