Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Aisee hio picha Ina ukweli wa asilimia π―
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali sana... π€π€π€π€#vyote amani tu mkuu wangu, sina baya na wewe#
Miaka 78 sio haba Mkuu π€ͺUzee
Yaani usiogope mwandiko wangu, nafahamu mwandiko ni mkali lkn mimi mpole sana hata mbu siuiπNakubali sana... π€π€π€π€
Tupo pamoja mkuu π€π€
Nilijua mybe unapingana na mimi π€π€π€π€ππππππ.Sisi Wazee unatujua hatuna mambo mengi ujue π€
Mara 50, mara 60 aaahMiaka 78 sio haba Mkuu π€ͺ
Ongeza column ya aliyepigwa mimba kabla huo umri
Mzee huyu mkali wa mambo kuliko vijanaπNilijua mybe unapingana na mimi π€π€π€π€ππππππ.
Nikapata na uwoga kidogo kuwa nimemkosea mzee wangu Grahams ...
Kumbe tupo sawa ππππ€π€π€
Japo wazee hawana mambo mengi ila wewe unayo sasa πππ
Miaka 50 ndiyo umri wa last born wangu Ujue π€ͺMara 50, mara 60 aaah
Naona jana ulitaka kunitoa mchezoni daah ππππππYaani usiogope mwandiko wangu, nafahamu mwandiko ni mkali lkn mimi mpole sana hata mbu siuiπ
Ulimaliza kuzaa ukiwa na miaka 28 aahMiaka 50 ndiyo umri wa last born wangu Ujue π€ͺ
Nikisema ni mzee ambaye ujana wake alikua wa hovyo.. anakasirika ππππππππππMzee huyu mkali wa mambo kuliko vijanaπ
Jana mwenendo wako ulitia shaka.Naona jana ulitaka kunitoa mchezoni daah ππππππ
Nikasema mkuu mbona kama ametake issue very very serious aisee
Kumbe sio hivo bana
ππππππ now naelewa
Glenn
Hapana Mkuu wangu, Mimi ni Mzee wa amani tuMzee huyu mkali wa mambo kuliko vijanaπ
Daaah hadi nimecheka kwa sauti..Jana mwenendo wako ulitia shaka.
Bahati mbaya huwa siruhusu kupapaswa taco bro π€£π€£
Bara ya wapi....πππHapana Mkuu wangu, Mimi ni Mzee wa amani tu
Kule Bara tumezoea Babu kucheza na Wajukuu zake huku akiwatambia Hadithi za kale mara baada ya kutoka shambani.
Ndicho nifanyacho Babu yao π€
Hawa wengi wanaweza kukufanya usitamani kabisa kuoa mana hawana msimamo vijana wengi wameharibiwa maisha na wanawake hao atakubali kuolewa mpaka ajihakikishie upo vizuri kiuchumi bila hivyo utakuchuna zikiisha anapiti hiviπ€π€π€π€ daaah hii ndo imetokea kwa ex wangu...
20-24 Akasema haolewi mimi mpaka nijitafute na nijipate
ila huko alipoenda akawa mke wa pili
Yaaani basi tuu..Hawa wengi wanaweza kukufanya usitamani kabisa kuoa mana hawana msimamo vijana wengi wameharibiwa maisha na wanawake hao atakubali kuolewa mpaka ajihakikishie upo vizuri kiuchumi bila hivyo utakuchuna zikiisha anapiti hivi
Wazee tumezoea utani tu, hata miaka ile tunamfurusha Iddi Amini tukikaa kwenye yale Mahandaki ilikuwa tunapiga stori ili kupunguza hofu ya Vita.Nilijua mybe unapingana na mimi π€π€π€π€ππππππ.
Nikapata na uwoga kidogo kuwa nimemkosea mzee wangu Grahams ...
Kumbe tupo sawa ππππ€π€π€
Japo wazee hawana mambo mengi ila wewe unayo sasa πππ
Linapokuja suala la kupiga marufuku tabia flani isijirudie huwa natumia lugha kali kuanzia matamshi hadi body language mkuuDaaah hadi nimecheka kwa sauti..
ππππππππππππ
Hapo sasa ndo shida inapoanza
Kwanini unatumia lugha za vijana wa hovyo mkuu ππππππππ