Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Kuna ukweli kulingana na hii picha!?

Tafuta Hela ukamuoe mke wa kwanza just for funny tu 😁😁😁
Ila nimejifunza kitu..
Mo siwezi mfanyia mwanaume mwenzangu ishu kama hiyo aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaaan najua kabisa huyu mwenzangu upande wa mshiko ni empty set alafu nimkazie aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuhame huko mkuu wangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Soon nitapita anga lako niandalie zabibu mkuu
Huku zabibu kama zote ila sasa ukame wa huku daah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ is too much

Your warmly welcome
 
Ila nimejifunza kitu..
Mo siwezi mfanyia mwanaume mwenzangu ishu kama hiyo aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaaan najua kabisa huyu mwenzangu upande wa mshiko ni empty set alafu nimkazie aiseeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Good, nimeipenda hiyo
 
Huku zabibu kama zote ila sasa ukame wa huku daah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ is too much

Your warmly welcome
Ukame sio neno, mimi nimeishi jangwani kabisa kabisa, so namudu kila hali.
Mwaka huu nimepita pita sana huko
 
Imani yangu hairuhusu kuolewa mke wa pili… sa kwann nichanganye imani πŸ˜’
 
Ukame sio neno, mimi nimeishi jangwani kabisa kabisa, so namudu kila hali.
Mwaka huu nimepita pita sana huko
Yaaan mchana jua la kuchoma + vumbi...
Safari hii ukipita itabidi unistue ili uzunguke zunguke mkuu
 
Si heri nizunguke tu humu
Mara RC
Mara TAG
Mara Pentecoste
Sa kwanini nihame kabisa nikaanza mafundisho upya?
Kuna situation tuu..
Ukikutana nazo.. maana hao wanao hama si kama hawajaona yote hayo
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ€
 
Back
Top Bottom