Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,396
- 2,108
Sio wasumbufu wanajitambuaMi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
Inawezekana, ukiangalia historia yake timu zote alizopita kacheza muda mfupi either mwaka au mwaka na nusu tu.Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!
Hujui ambacho Morrison anakifanya simba?Sasa huyo Morrison anakipi anachofanya huko? Si bora hata Dilunga anaeleweka! Wape pongezi Yanga wana skauti ya ukweli!
acha gongo kijanaNi mbaya kwa nyie mnaokunywa kupunguza stress za maisha. Lishe duni alafu kutwa ni mwendo wa kipimo tu. Si afya.
Pole mkuu, punguza gongo, utailaumu bure. Ukute na ugoro na gomba unachachulia tena. Lazima useme gongo mbaya.
Najua umeongea kwa uzoefu ulio nao wa matumizi ya gongo.
Tupe uzoefu zaidi wa ubaya wa gongoe.
Karibu mkuu.
Aucho mkataba miezi 6Gongo mbaya sana
Umetoroka Mirembe wewe!Aucho mkataba miezi 6
Bangala miezi 3
Djuma miezi 5
Diarra miezi 4
Ndiyo wahuni wanavyosainisha mikataba ya kitoto. Mazuzu kweli.
Aucho atacheza Simba kuanzia January. Mark my maneno.
Amesema ana mkataba wa miaka miwili huo wa miezi 6 dauda ndio kawadanganya?Aucho mkataba miezi 6
Bangala miezi 3
Djuma miezi 5
Diarra miezi 4
Ndiyo wahuni wanavyosainisha mikataba ya kitoto. Mazuzu kweli.
Aucho atacheza Simba kuanzia January. Mark my maneno.
Aliskika tahira moja πAucho mkataba miezi 6
Bangala miezi 3
Djuma miezi 5
Diarra miezi 4
Ndiyo wahuni wanavyosainisha mikataba ya kitoto. Mazuzu kweli.
Aucho atacheza Simba kuanzia January. Mark my maneno.
Hujui ambacho Morrison anakifanya simba?
kweli mkuu,Aliskika tahira moja π
Wewe mbumbumbu uliyelaaniwa na mudi unakaa kwa mpalange ndani ndanihajui chchote.
Boss Mo atalipa, sisi ni matajiri na kwenye akaunti ya timu tuna zaidi ya 25 bil.Amesema ana mkataba wa miaka miwili huo wa miezi 6 dauda ndio kawadanganya?
Kwanza kalipeni pesa za yule tolu kanuti sijui kashata ππ
Zama hizo zilishaisha, hakuna mchezaji anaweza kurubuniwa na vipesa vya Mo ukwaju, GSM kwa sasa hawadhamini Yanga tu bali ligi nzima.Yale yale ya Morrison
Simba wanaionea sana Yanga
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]
Zama hizo zilishaisha, hakuna mchezaji anaweza kurubuniwa na vipesa vya Mo ukwaju, GSM kwa sasa hawadhamini Yanga tu bali ligi nzima.
Naamini hata Morrison roho inamuuma sana kwa sasa, anatamani arudi ila haiwezekani.
Unaumwa weweWadau wenzangu
Hizi ni tetesi zinazosambaa kwa kasi kubwa kama moto wa gesi.
Kwamba "Daktari wa Soka" sasa hapokei simu za Viongozi wake au muda mwingine huwa hapatikani kabisa.
Kwamba eti tabia yake imebadilika pakubwa siku za karibuni.
Kwamba mchezaji huyo raia wa Uganda ana mipango mkakati asiopenda kuwashirikisha waliomuajiri.
Mwenye Taarifa za uhakika atufahamishe.