Mi mwenyewe nilitaka kushangaa, Aucho atakuwa mganda wa aina gani asiwe msumbufu. Hakika nawaambia sifa kubwa ya waganda ni usumbufu! Yaani ukiajili mganda jiandae ki saikolojia maana akiishagundua thamani yake kwako, utakoma ubishi! Atasubiri siku Una Jambo nyeti Sana eye ndio analeta madai yake, migomo, mikwara n.k. Binafsi huwa sina Imani yoyote na mganda. Eye haangalii unanufaikaje naye, eye anajali maslahi yake tu. Hivyo basi likisemwa lolote kuhusu mganda yeyote, Mimi sipingi. Waganda ni wasumbufu sio pole pole, ni saaaaana tu!