Katika pita pita zangu kwenye internet nimeona matangazo mengi ya kuongeza urefu au unene wa dushe(penis) na hata mitaani kuna za asilia kama za kimasai zinauzwa kwa kufanya kazi hii.
Ni kweli zinaongeza urefu/upana au zinacheza na psychology ya mtu tu. Mimi personal siamini na wala sijawahi kuzitumia maana ukubwa si ishu, ishu ni jinsi gani unafanya shughuli. Ila nataka kujua ukweli wa hizi dawa.