Kuna ukweli kwenye dawa ya kuongeza ukubwa wa kitendea kazi cha kiume

Kuna ukweli kwenye dawa ya kuongeza ukubwa wa kitendea kazi cha kiume

deejaywillzz

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
637
Reaction score
224
Katika pita pita zangu kwenye internet nimeona matangazo mengi ya kuongeza urefu au unene wa dushe(penis) na hata mitaani kuna za asilia kama za kimasai zinauzwa kwa kufanya kazi hii.

Ni kweli zinaongeza urefu/upana au zinacheza na psychology ya mtu tu. Mimi personal siamini na wala sijawahi kuzitumia maana ukubwa si ishu, ishu ni jinsi gani unafanya shughuli. Ila nataka kujua ukweli wa hizi dawa.
 
check me through 0765650028 kwa ufafanuzi wa kitaalam
 
Back
Top Bottom