kuna ukweli ndani ya hili penzi?

kuna ukweli ndani ya hili penzi?

Da mkuu zari la mental hilo,sasa fanya vipi weka wave piga mascrub piga mapooda sana uwe soft then lipuka mapamba ya ukweli sio ya kichina,nenda gym ujenge 6packs na stamina,then mwambie akutumie mkwanja uende uganda,then ukilala nae simamia show kisawasawa mpake adate,ukifanya hvyo basi ushamtia uchizi hata ukitaka gari atakupa coz kwa wafanyakazi wa bank mikopo kwao ni easy sana.

kuhusu hayo usitie shaka..mi bonge la mtanashati kaka
 

Attachments

  • kalenda.jpg
    kalenda.jpg
    34.2 KB · Views: 35
  • far away.jpg
    far away.jpg
    47.3 KB · Views: 38
Kaka akili za kuambiwa changanya na zakwako. yaan mnachati siku zote hata picha hamjatumiana? Shida nini? kwanini asikutumie picha? we unaonekana kijana mdogo, siajabu huyo dada ni shugamama anatafuta kijana wa kumlea! usipende vya dezo. huyo aliyeandika watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa kakupa ushauri mzuri sana.
 
Back
Top Bottom