GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana?
Naomba kuwasilisha na nitashukuru kwa majibu yenu.
Mi mbona nina roho nzuri ila nina sura poa tu.
Idd Amin alikuwa na sura nzuri,,,,,,,,,,!!!!
Mwenyewe namba ya Waziri wangu mstaafu Stephen Wasira naiomba, nina shida naye kidogo
Mwenye namba ya Waziri wangu mstaafu Stephen Wasira naiomba, nina shida naye kidogo
Hiyo ninayo, nisaidie ya rais mstaafu wa Kenya DANIELI ARAP MOI pleaseNina ya Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, nikupe labda unaweza ukamuuliza kama anayo namba ya Wasira?
Kama sura yako ni hiyo kwenye avatar yako haina haja kujiangalia kwenye kioo.. wewe ni mzuri tu.ngoja nijiangalie kwenye kioo