Kuna ukweli wowote hapa kwamba.......

Kuna ukweli wowote hapa kwamba.......

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana?

Naomba kuwasilisha na nitashukuru kwa majibu yenu.
 
Mi mbona nina roho nzuri ila nina sura poa tu.
 
Principle yako inakataa kwa J.Kikwete, Aisee jamaa alikuwa na sura nzuri na moyo mzuri sanaa.😱
 
idi-amin-dada-9183487-1-402.jpg
 
Back
Top Bottom