BOB OS
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 3,440
- 6,881
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa ila hayo sio maneno yangu nmeyasoma mahali tuuuNa roho siyo sura.
Huyu kakaa kikazi zaidi, hata kwenye picha kakunja suraBenito Mussolini
Hahaha! hiyo sinaHiyo ninayo, nisaidie ya rais mstaafu wa Kenya DANIELI ARAP MOI please
wengine hawatabirikiKuna ukweli wowote hapa kwamba Watu wenye roho nzuri sana maishani huwa na Sura mbaya / zisizo na Mvuto ila wale wenye roho mbaya, wakatili, wezi na wanafiki huwa na Sura nzuri / zinazovutia sana?
Naomba kuwasilisha na nitashukuru kwa majibu yenu.
Ianike hapa tuitathmini tafadhali.
Huyu ndo mchokozi haswaaNina ya Waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda, nikupe labda unaweza ukamuuliza kama anayo namba ya Wasira?
Yes ukweli upo na tafiti zishafanywa... Asilimia kubwa ya watu makatili, wenye roho mbaya na matukio yakustajabisa wanakuwa na baby face... Sura nzuri, zenye mvuto...
Wenye sura mbovu, chachu, mbaya mara nyingi wanakuwa ni watu wenye mioyo ya huruma sana...
" Don't get deceived by the look "
Cc: mahondaw