I AM NO ONE
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 388
- 579
Niaje ebhana hapa me pamekuja kunishangaza sana nimekuwa nikifatilia mambo ya nyota kila siku lakin cha ajabu unakuta yote anayokwambia kuhusu nyota yako ni sawa ukijitasmini ila kwa upande wa nyota za kila siku nimekujua kuona ni uonga maana haisema ukweli,vingi vinavotafsiriwa kila siku kwa upande wa nyota naona uongo maana mara anakwambia utapata pesa usio itarajia unakuta unasubir kutwa nzima labda hata mtu atakosea muamala au kuna dili utapata au utaokota unakuta kiza kinaingia umepigika na jua la mchana kufanya mishe ukitegemea kwenye mishe mishe utapata zali kumbe hola nyota imedanganya
Halafu kwa upande pia wa ramli dah huku nilijaribu shemej yangu alikuwa na mimba maana nilikuwa naish nae nyumbani yeye akawa analalamika ooh mimi nikienda hosptal nikiwaambia waniangalizie mtoto jinsia gani hawataki sasa kama unavojua mjazmito anavosumbua . sasa siku moja nikamfata jamaa mmoja mtaalamu nikamuuliza hivi unaeza kujua mtoto akiwa tumboni kama atazaliwa wakike au wakiume.Mtaalamu akaniambia mbona kazi ndogo hiyo akaniambia npe jina la mjamzito nikampa kaangalia pale jamaa akaniambia kidume hicho kinakuja.
Basi bwana nikasema ngoja nione masiku yakafika ya kujifungua ile mtoto kazaliwa tu me ndo ilikuwa wa kwanza kuuliza nani dume au jike nikasikie dume kazaliwa kuanzia hapo nikaanza kutoa credit kwa jamaa wa ramli aise kuwa hawa jamaa ni balaa wanaweza kukwambia mambo mazito ukajikuta unaachana namkeo hivi hivi au unakimbia familia kabisa iase.