Marhabteen!! wa ahlen!! wa sahleen...
[emoji16][emoji16][emoji16]Marhabteen!! wa ahlen!! wa sahleen...
Ngw'angaluka, ngw'amisha kinehe....mtoa mada nitafsrie tafadhali..Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.
Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.
Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.
Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Sisi wangoni tunasema Penyeapo Je?!
Sasa suala LA jamii katika Habari za Asubuhi na good morning liko wapiSalamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.
Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.
Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.
Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Nilimaanisha maana ya habari na inaposalimiwaSasa suala LA jamii katika Habari za Asubuhi na good morning liko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.
Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.
Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.
Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Nilimaanisha maana ya habari na inaposalimiwa