Kuna ukweli wowote kuhusu salamu ya jamii huendana na uchumi wao

Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.

Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.

Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.

Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Ngw'angaluka, ngw'amisha kinehe....mtoa mada nitafsrie tafadhali..
 
Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.

Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.

Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.

Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.
Sasa suala LA jamii katika Habari za Asubuhi na good morning liko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu ya jamii yeyote inaendana na uchumi wao.

Mfano salamu ya Shikamoo ina asili ya Pwani maana yake niko chini ya miguu yako. Hivi ndivyo watumwa na wapagazi walivyosalimia ma bwana wakubwa.

Habari za asubuhi, ina maana huna uhakika wa habari asubuhi ile, unaweza kusikia kuna mgonjwa au marehemu.

Good Morning, Hii ni kuwa ana uhakika asubuhi ni nzuri.

Shikamoo ni maneno mawili yaliyofungamanishwa nayo ni haya; shika moo, shika maana yake ni hii ya kiswahili "kushika kitu" na "moo" maana yake ndiyo miguu, hivyo basi mtu anaposema (anapoamkia) shikamoo maana yake yeye ndiye anayeomba ashikwe miguu, yaani shikamoo= shikamiguu.

Kama Wakubwa wanapenda kusalimiwa shikamoo hiyo ni shauri yao, mimi napenda maamkizi ya "Assalam aleykum au Amani iwe kwenu"--- Salamu hii imefundishwa na Yesu na Muhammad, (amani ziwe juu yao.).
 
Back
Top Bottom