[emoji1787] haha yeahAbunuasi mchizi wa kitambo
Ndio, na radi hii ni buku jero tu......3. Radi inaweza kupiga hata kama mvua hainyeshi. .
Sumbawanga braza buku jero tu, japo sahivi na maeneo mengine zinapatikana, juzi juzi hapa ilinunuliwa manyara huko πBro Evelyn Salt wapi wanauza radi π
sema kitu mkuu, wewe ni mdogo wake Poor Brain ?
Kwanza RADI NI NINI?? Nadhani tungeanzia hapa..!
sema kitu mkuu, wewe ni mdogo wake Poor Brain ?
Mi sijawahi kushuhudia ila nasikia kigoma radi inapiga hata kipindi cha kiangazi tena inakufuata ukikata kona kwenye kichochoro ina wewe tu mpaka ikupige ππNdugu zangu Poor Brain & dosho12 kuna ukweli wowote hapa?
Hahahaha dahMi sijawahi kushuhudia ila nasikia kigoma radi inapiga hata kipindi cha kiangazi tena inakufuata ukikata kona kwenye kichochoro ina wewe tu mpaka ikupige