Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km lilivyoulizwa km unafahamu chochote... Kama huelewi kaa kmy kuepuka BANNED zisizo za lazima[emoji4] !!!!!
Ooooh kwahiyo kuna kaukweli???
OkayInategemeana.
Kugegedana ni kazi kama ilivyo zingine. Kama umechoka alafu ukapewa jembe ulime tena kwa wakati huo, hakika hutaliweza au utalilima kivivu sana kutokana na Uchovu.
Dushe kusimama pia hutegemeana na Hali ya kisaikolojia na kimwili ya mwanaume husika. Kama ana stress ambazo pia husababisha uchovu mwingu ni dhahiri kuwa hataweza kusimamisha...