Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ban sijawahi kuipata tangu nijiunge jf[emoji23] [emoji23] [emoji23] weeeee saivi tunaandika kwa makini sana saivi ukikosea kaneno kadogo tu ban[emoji4]
[emoji15] mbn umetumia maneno makali hivyooo[emoji85] mie bado mtoto
[emoji15] [emoji15] mbn unakuwa mkalii??? Au unamuonea wivu mwenzio??
Ni kweli,japo mwanaume anaweza kusimamisha lakini inaweza kuwa weak erection.Kwahiyo nikweli
sawa asee Dada JiraniiWala nimeuliza tu
kama mumeo alirudi jana na dushe limesinyaa ujue kuna mwenzako alikuwa anapewa shughuli ya maanaHabari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????
NOTE: jibu swali km lilivyoulizwa km unafahamu chochote... Kama huelewi kaa kmy kuepuka BANNED zisizo za lazima[emoji4] !!!!!
ile NOTE uliiona lakini??Sometimes Yes Sometimes No
Dada yamekukuta nini???😀😀😀😀😀
NOTE 1, 2,3,4,5,AU 6??ile NOTE uliiona lakini??
Ulivyomaliza uzi hapo.Mkwara wa nini?
Nimeona last viewing forum ya Daby ilikuwa jumanneJuzi mi nimepigwa .......
Vipi Daby&na Espy sijawaona kitambooo .......sijui wako kwenye Ban[emoji125]
[emoji85]kuna mtu kaniandikia??!