Kuna ukweli wowote

Mahabaaa. Nilikuwa kwa bibi yako yule mdogo alinificha katikati ya yale mapaja yake
[emoji15] yule mzigua???? Maana km ndiyo yuleee umekwishaaa babu yangu

.....cc:espy
 
That's greating, just hi. Haujambo. Darasani ulinikimbia.

Yaani mimi hadi natokwa na ukungu kichwani. Haya niambie
Hahahhah
ukungu wa kichwani uko vipi?

Mi nilikumiss hadi nikasema leo sili nisipokuona humu 😛

Alafu darasani kila siku unanighairishia vipindi asee
 
Yani babu umerudii badala ya kutoa vizawadi ulivyokuja navyo. Unaanza tena kuniozeshaa tena kwa lazimaa huko sijui umetoka wapi???...... Maana si kwakutekwaa hukooo
.
Zawadi ndiyo hiyo mmeo.

Kumbuka tu kuna laana.
 
Mchukue. Niungie bando la mwaka tu ndiyo mahari yake
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134] hapa sina ndugu ngoja nikamuulize mama vizurii niwewe au alisingiziwa baba[emoji125] [emoji125]
 
Hahahhah
ukungu wa kichwani uko vipi?

Mi nilikumiss hadi nikasema leo sili nisipokuona humu [emoji14]

Alafu darasani kila siku unanighairishia vipindi asee

Haha. Jiongeze basi J maswali gani hayo na utuuzima huu nitafunguka yote. Ohooo.

Teh. Basi fanya kuagiza lunch hotel yoyote ya karibu . Bill andika Daby.

Basi hiyo lugha tuachane nayo tuanze kimasai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…