Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
HahahhhHaha. Jiongeze basi J maswali gani hayo na utuuzima huu nitafunguka yote. Ohooo.
Teh. Basi fanya kuagiza lunch hotel yoyote ya karibu . Bill andika Daby.
Basi hiyo lugha tuachane nayo tuanze kimasai
Nilijua tu hutoweza kuuelezea huo ukungu
Em tujaribu kimasai tukimaliza nakuja cha kwetu kuleee