Kuna ukweli wowote

Haha. Jiongeze basi J maswali gani hayo na utuuzima huu nitafunguka yote. Ohooo.

Teh. Basi fanya kuagiza lunch hotel yoyote ya karibu . Bill andika Daby.

Basi hiyo lugha tuachane nayo tuanze kimasai
Hahahhh
Nilijua tu hutoweza kuuelezea huo ukungu

Em tujaribu kimasai tukimaliza nakuja cha kwetu kuleee
 
Zawadi ndiyo hiyo mmeo.

Kumbuka tu kuna laana.
[emoji34] mume unanichagulia au nachagua mwenyewee??? Ngoja nikamuite shangaziii[emoji125]

Cc:espy popote ulipo huku nimeletewa mume eeeee
 
Mbona unamwogop sana daby,mi ntakuendo vizuri tu mbona,..
Xuuuuuu koma.......... Mwambie km kuolewa raha atwende na yeye tukaolewe wotee[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Jiheshimu. Shangazi Ukimwona mwambie namwita
Aaaah babuuu hutaki nimjue bibi yangu.....[emoji19]
.....kuna mahali nimemuona ngoja nikamleteee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…