Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Teh
Mnamaswali ya mitego nyie.

Haijawahi ila kawaida mwanaume kama umechoka mwili au akili performance itakuwa ni ndogo kuliko kawaida
Nadhani Jovitha kapata jibu
Sijui beb ake alizingua jana[emoji23] [emoji23]
 
Sasa ndo nini kuniongelesha kingreza nawewe? Muone vile kichwa kama karungu yeye

Mondray kafanyaje mdogo wangu yule?
Haya Daby kashapata jibu. Kasema ama zake ama zako.

Yaani ndiyo unajitetea kwa weak point hivyo. Mdogo wako! Mbona wewe mdogo wangu!
 
Nilikuota tena tunacheza kuch kuch...
Nitaachaje kukuota sasa your my dreamliner kama yale mandege ujue ya airbus
Ewaaah

Sasa leo turudie tena hiyo ndoto jana muda ulikua mfupi sana nikashindwa kuenjoy to the maximum
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji39] KBS nakule ushatoa ofa ya wine mambo mubashara kabisaaa[emoji125]
Hapo umebaki wewe tu unanionyeshe direction safari tuianze. [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Back
Top Bottom