Kuna ukweli wowote

Kuna ukweli wowote

Habari za Leo wana chit chat
.........Je, ni kweli mwanaume akiwa amechoka Sana wakati wa tendo la ndoa uume unaweza usisimame kwasababu ya uchovu alionao?????



NOTE: jibu swali km lilivyoulizwa km unafahamu chochote... Kama huelewi kaa kmy kuepuka BANNED zisizo za lazima[emoji4] !!!!!

Mapenzi ni hisia.kama kachoka kiakili usitegemee nyuzi 90.

Ila kama kachoka kimwili..kitu kitasimama tu
 
ni kweli kuchoka hupekekea mashine kutokufanya kazi hata ikitokea ikasimama bac haitachukua muda hualala
 
Back
Top Bottom