Hiyo mwishoni hapo tu mimi hooooiNakupenda pia , nivumilie sababu nmejaa ulopokaji.
Ila siri nitatunza.
Anawatest wanaume wenzake awanase.Kasahau.
Ila nilishamwambia jinsia yake kule juu
mimi nimecheka hadi machozi looohHahahaa. Nimecheka sana.
Pia niseme kuna ambao wamekufa na kuozeana humu na hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Sijaelewa hataSasa utajaribuje? Kutongoza?.
E bwana ee ngoja nikuache bwana. Usije ukanipa papuchi bure wakati mi sitaki za JF.
Ila ww nishakupeleka kibla zamani sana
Jibu pmSijaelewa hata
Usipende kununa ovyo haya ni mambo ya kawaida ndugu yangu.Ndio
HayaJibu pm
Unahisi nimenuna kabisaaUsipende kununa ovyo haya ni mambo ya kawaida ndugu yangu.
Mngh!Mjinga mwingine huyu,
ukivua gumegume pambana nalo ndo nyota yako hiyo
wapo wenye nyota ya vipusa wanaishukuru jf kwa kuwapa vitu vya ukweee
Mngh!Hahahaa. Nimecheka sana.
Pia niseme kuna ambao wamekufa na kuozeana humu na hawawezi kukuelewa hata kidogo.
Hahaaa. Yaani kama mimi sijawahi kuingia huku halafu nikatoka pasi kucheka.mimi nimecheka hadi machozi loooh
jaman huyu mkuu ameniacha hoi ila ndo raha ya jf
Nini tena rafiki?Mngh!
Nimependa maelezo yako rafikiNini tena rafiki?
hata mimi naiombea kabisaaa, kwangu imekuwa kama darasa, faraja na mambo mengi tu nimeyapata humuHahaaa. Yaani kama mimi sijawahi kuingia huku halafu nikatoka pasi kucheka.
Jf idumu tu kwa kweli.
Ila sio kwa mguno ule usio na hata chembe ya maelezo.Nimependa maelezo yako rafiki
Hahaaaa. Umeonaeee.hata mimi naiombea kabisaaa, kwangu imekuwa kama darasa, faraja na mambo mengi tu nimeyapata humu
hahahahha Jf forever
Kweli tena Hajar. Unajua hata chakula kikinoga sana huwa kuna migunoIla sio kwa mguno ule usio na hata chembe ya maelezo.
Haya ahsante sana rafiki ake.
Wakina nani haoNgoja waje