Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hilo ndio la muhimu Dada yangu, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima huu aliotujaliaYaani wacha kabisa mdogo wangu. Ila nashukuru Uzima upo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndio la muhimu Dada yangu, hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima huu aliotujaliaYaani wacha kabisa mdogo wangu. Ila nashukuru Uzima upo.
Nakubaliana na weweMjinga mwingine huyu,
ukivua gumegume pambana nalo ndo nyota yako hiyo
wapo wenye nyota ya vipusa wanaishukuru jf kwa kuwapa vitu vya ukweee
Hahahaaa, usisahau kuita zimamotoYaani wacha kabisa mdogo wangu. Ila nashukuru Uzima upo.
Yaelekea Numbisa ni mtundu sana tokea utotoni, sio kwa vituko hivi aiseeHahahaaaa. Ila rafiki nimecheka sana lol.
Atakuta mwan si wakewe zunguka mbuyu tu
We ndo umeelewa sasaAtakuta mwan si wake
Hahahaaa. Jamaani. LolHahahaaa, usisahau kuita zimamoto
Kosoma hajui lakini hata............haoni!We ndo umeelewa sasa
Hebu msaidie jamaniKosoma hajui lakini hata............haoni!
Mbona wacheka Hajar moto wa jikoni nao si moto lakini? Au hauunguzi? hahahahaHahahaaa. Jamaani. Lol
Hahaaa. Ni moto Sesten na unaunguza pia.Mbona wacheka Hajar moto wa jikoni nao si moto lakini? Au hauunguzi? hahahaha
Narajia ulichukua hatua zote za kiusalama na kwamba vidole vyako havikuungua ulipokua unaipua sufuria la mboga jikoniHahaaa. Ni moto Sesten na unaunguza pia.
Itabidi ajiongeze tu mwenyewe maana watu wengine wakiambiwa wasaidie wanapitiliza, ni kama yule mshenga wa ailyejipigia pande mwenyewe kwa mchuchu badala ya kusaidia kumuwakilisha mwenzieHebu msaidie jamani
Mkuu sijapigwa kibuti hata kidogo hii ni chitchat.Hebu sema vizuri mkuu alikupa kibuti gani hasa kilichokupelekea kuleta huu uzi.
Amezeeka vibaya huyo.Haiwezekani kabisaaa!!...
Babu sio muongo bhana