Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Kuna ulazima gani kupendwa na mdada wa JF?

Nadhan tupo tofauti sana wanaume maana Mimi kama Mimi sijawahi kufikiria wanawake wa mtandao fulani ni tofauti sana maana ni walewale wa kwenye Jamii yetu ila mitandao ndo inatofautiana kwa hadhi na mwanamke anaweza kujiunga mitandao yote kwa madhumuni tofauti tofauti lakini yeye anabaki kuwa yeye.
Yaani wale wale tunaoishi nao, mwingine unaweza kuta dada yako au mke maana wote mnajificha kichakani
 
Back
Top Bottom