Kuna ulazima gani wa kufanya mapenzi kabla hamjaoana?

Kuna ulazima gani wa kufanya mapenzi kabla hamjaoana?

Unaweza kuolewa na jamaa mwenye tubelight ndogo kama kishungi cha sigara.
Habari ndio hiyo
 
Kuna wengine ni kama semenya.
Unaweza kufikiria umepata binti, ukamuoa, kwenye honey moon ndio mnakutana wote mmesimamisha mitarimbo.
Kudadadadadadadeki, sijui utatokea mlango gani?
 
Kidini ndio inavyotakiwa, lakini sasa.......................

Kuna mwezako alioa bila kutest baada ya harusi akakuta mkewe anajinsia mbili, na zote zinafunction, ilikuwa balaa.
Mwingine utakuta hajisikii kabisa kufanya lile tendo, yaani ni full maumivu.
Wanaume wengine majogoo haya wiki kabisa, baada ya ndoa ndio mke anagundua.
Kuna kesi nyingi sana za kuona kabla hamja do ikiwemo zakari kuwa kubwa kupindukia au ndogo kupita viwango, uke kuwa mkubwa kupitiliza au kuwa na umbile la ajabu au kuwa ndogo kupitisha zakari.
Mimi binafsi nimesha kutana na binti mmoja yaani inapokuja swala la sex ni balaa, anadai hana hamu kabisa na anasikia maumivu makali wakati wa tendo. nilijaribu kila utundu nakuona wataalamu lakini wapi, mwisho nilibwaga manyanga.
Sipati picha ndio unamuoa kisha unakuja jua hayo baada ya ndoa
 
Du..kuna ka ukweli ndani yake! Mi nilishawahi kukutana na demu huku chini kulikua na kijitundu fulani kidogo sana hata kidole cha mwisho hakipiti yani hakina hata ule mfano wa k..kwakweli ilikua issue kwa sababu alikua anatumia kwa kukojolea tu!
Habari ndo hiyo
 
kama tunatakiwa kufanya mapenzi baada ya ndoa, kwa nn tuna balehe kabla ya ndoa? ukipata jibu la hilo swali basi na swali lako kwishney
 
Hakuna ulazima :hungry: + :hungry: = :whoo:
 
hakuna sababu yoyote kufanya hivyo...ukimuomba Mungu atakupatia mke wa kufanana nawe..ukienda kwa akili zako, utakutana na hayo unayooongea...ndio maana ya MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA...yaani ukimuomba Mungu atakupa anayefanana na wewe kimaumbile na kihisia..sio mwengine hisia kali kuliko mwengine, mwingnien maumbile makubwa kuliko mwingine, au mapana kuliko mwingine..etc...ukija kwa wanawake, wengi huwa wanawalaumu wanaume kuwa wana maumbile madogo...kumbe wao wenyewe ndo wanakuwa wanayo maumbile mapana...hasa wanawake ambao walishawahi kuzaa, walishawahi kusafisha kizazi(imagine mkono mzima unaingia hapo...na uke haujajiandaa ktk mazingira kama ya kupokea mtoto etc), na wengine wakishazaa hawafanyi mazoezi ya kurudisha k...wanachofanya wao ni kula tuuu, kwenda mbele...na ukiangalia sana kutoka nje ya ndoa ndo kuananziaga baada ya mtoto wa kwanza kwa wengi...

ukianza kuhesabu mapungufu, hayaepukiki...unaweza ukaingia kwenye ndoa wote mko safi, mara mwanaume akapata jogoo kudondoka milele, na ndoa imeshakaa karibia mwaka kwa uzuri tu....au kuna mwanamke mmoja namfahamu, alijifungua mtoto wake wa kwanza vizuri tu, wa pili alikuwa mkubwa mto, akamvunja mgongo...yaani uti wa mgongo haufanyi kazi...na unajua uti wa mgongo ni wa muhimu sana kwenye sita kwa sita. hivyo hujafa hujaumbika....unaweza kupata ajali baada ya ndoa, unaweza kuingiwa na jini mahaba litakalokuwa linanyamazisha hamu kwa mumeo, ukitaka kukutana na bwanako hamu hamna...ila usiku yanakuingilia..hasa nyie wanawake...asilimia 10 ya wanawake wa Dar wanaishi na majini mahaba....bila wao kujijua..ila wanachoona tu ni kwachukia sana wanaume wao ila usiku wanaota ndoto kama kuna mtu anawaingilia....ukiona hivyo jua kuwa jini keshaingia na anamwonea wivu bwanako ndo maana anakunyima hamu..kuna mambo mengi. tufanyeje basi..mwombe Mungu akupe wa kufanana nawe, ukimpata, kaa ktk Mungu ili usiingiliwe na adui...kama hutafanya hivyo..no one needs to boost kwani lolote lawezamtokea yeyote..ndoa si ngono peke yake hata hivyo...
 
hakuna sababu yoyote kufanya hivyo...ukimuomba mungu atakupatia mke wa kufanana nawe..ukienda kwa akili zako, utakutana na hayo unayooongea...

kwa hiyo kina semenya (watu hunsa, wenye jinsia mbili) wataolewa na nani?
Au wao hawana haki ya kuolewa?
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa; anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Sio lazima, bali ni vyema na haki ku-do kabla haujala kile kiapo cha "....mpaka kifo kitutenganishe". Mkeo au mumeo ndo mtu ambae unategemea kuishi nae muda mrefu zaidi katika maisha yako. So.. lazima uhakikishe anakufit katika kila angle.
 
Ukizini na mwanamke huna akili kabisa,je vipi kuhusu wale wanaowaingilia wanyama?kuna jamaa alikuwa na mchumba mlokole, binti akawa anamnyima jamaa mambo, jamaa alipozidiwa akaingia kwenye banda la ng'ombe.
Huko akafumaniwa , unajua aibu kubwa ilikuwa kwa nanai?
aziniye na mwanamke hana akili kabisa; anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
Back
Top Bottom