hakuna sababu yoyote kufanya hivyo...ukimuomba Mungu atakupatia mke wa kufanana nawe..ukienda kwa akili zako, utakutana na hayo unayooongea...ndio maana ya MKE MWEMA HUTOKA KWA BWANA...yaani ukimuomba Mungu atakupa anayefanana na wewe kimaumbile na kihisia..sio mwengine hisia kali kuliko mwengine, mwingnien maumbile makubwa kuliko mwingine, au mapana kuliko mwingine..etc...ukija kwa wanawake, wengi huwa wanawalaumu wanaume kuwa wana maumbile madogo...kumbe wao wenyewe ndo wanakuwa wanayo maumbile mapana...hasa wanawake ambao walishawahi kuzaa, walishawahi kusafisha kizazi(imagine mkono mzima unaingia hapo...na uke haujajiandaa ktk mazingira kama ya kupokea mtoto etc), na wengine wakishazaa hawafanyi mazoezi ya kurudisha k...wanachofanya wao ni kula tuuu, kwenda mbele...na ukiangalia sana kutoka nje ya ndoa ndo kuananziaga baada ya mtoto wa kwanza kwa wengi...
ukianza kuhesabu mapungufu, hayaepukiki...unaweza ukaingia kwenye ndoa wote mko safi, mara mwanaume akapata jogoo kudondoka milele, na ndoa imeshakaa karibia mwaka kwa uzuri tu....au kuna mwanamke mmoja namfahamu, alijifungua mtoto wake wa kwanza vizuri tu, wa pili alikuwa mkubwa mto, akamvunja mgongo...yaani uti wa mgongo haufanyi kazi...na unajua uti wa mgongo ni wa muhimu sana kwenye sita kwa sita. hivyo hujafa hujaumbika....unaweza kupata ajali baada ya ndoa, unaweza kuingiwa na jini mahaba litakalokuwa linanyamazisha hamu kwa mumeo, ukitaka kukutana na bwanako hamu hamna...ila usiku yanakuingilia..hasa nyie wanawake...asilimia 10 ya wanawake wa Dar wanaishi na majini mahaba....bila wao kujijua..ila wanachoona tu ni kwachukia sana wanaume wao ila usiku wanaota ndoto kama kuna mtu anawaingilia....ukiona hivyo jua kuwa jini keshaingia na anamwonea wivu bwanako ndo maana anakunyima hamu..kuna mambo mengi. tufanyeje basi..mwombe Mungu akupe wa kufanana nawe, ukimpata, kaa ktk Mungu ili usiingiliwe na adui...kama hutafanya hivyo..no one needs to boost kwani lolote lawezamtokea yeyote..ndoa si ngono peke yake hata hivyo...