Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hao ndio UTOPOLO FC ukisikia wengine ni Fake.Jumla mtakuw na wachezaji kumi na moja wa kigeni pamoja na Morison mnayeaminishwa mnamkatia rufaa fifa
Kwanza Mwenyekiti wa Yanga jina lake umelikosea ...jina lake ni Mshindo Msola na siyo Msolwa....halafu hilo unaloita bakuli inaonesha ni jinsi gani unavyokebehi juhudi za wanayanga kuchangia maendeleo yao...mbona michango ya madawati ujenzi wa shule na zahanati hamuiti bakuli?!? Hata michango ya harusi hamuiti bakuli ...Jana nilikua namsikiliza mshindo msolwa akiongea kuwaomba mashabiki wa yanga kuchangia bakuli ili waweze kusajili wachezaji 2 wakigeni ambao ukijumlisha na wachezaji 8 ambao tayar wameshasajiliwa.
Swali langu mim kama shabiki wa yanga kama hela hamna za usajili kwanini tulazimishe wachezaji 10 na je mishahara yao nani atalipa au bakuli litakua linapita kila mwezi?