Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Jana nilikua namsikiliza mshindo msolwa akiongea kuwaomba mashabiki wa yanga kuchangia bakuli ili waweze kusajili wachezaji 2 wakigeni ambao ukijumlisha na wachezaji 8 ambao tayar wameshasajiliwa.
Swali langu mim kama shabiki wa yanga kama hela hamna za usajili kwanini tulazimishe wachezaji 10 na je mishahara yao nani atalipa au bakuli litakua linapita kila mwezi?
Swali langu mim kama shabiki wa yanga kama hela hamna za usajili kwanini tulazimishe wachezaji 10 na je mishahara yao nani atalipa au bakuli litakua linapita kila mwezi?