Hata kusalimia pia siyo lazima, inategemea na level ya maadili uliyonayo. Kumbuka kuna watu wa aina tofauti, kuna ambao nidhamu na maadili mema ni kipao mbele ila kuna wengine hawaoni umuhimu wa ndihamu wala maadili katika maisha yao.
Pale mlimani tulikuwa tunaingia lecture watu wamesuka rasta na wengine wamepigilia tu kofia na wanamaliza kipindi vizuri bila kutoa japo ilitegemeana na aina ya lecturer, na wanafunzi wengi waliliona jambo la kawaida kuvaa hivyo.
Aisiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, kuna nyakati zinafika inatakiwa unyoe rasta zako na uache kutuvalia kofia lako pia jeans na kata k kwa lazima siyo ombi tena.