my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely trueSimu wala haina tatizo. Shida inayokukabili ni tabia yako.
Kama tabia yako itaendelea kuwa ile ile basi hata namba mpya utakayotengeneza itaendelea kuwa ya maovu na mwishowe kuvunjika kwa ndoa ama mauti.
Badili tabia. Usisingizie simu.
MbwembweHivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?