Kuna ulazima wa kumridhisha kahaba?

Kuna ulazima wa kumridhisha kahaba?

Kama tunavyoelewa kuwa kahaba ni mwanamke anaetoa huduma ya ngono kwa pesa ili kujiweka sawa kiuchumi au kimatumizi.Nafahamu zipo tafsiri nyingi na pana zaid juu ya neno kahaba.

Niende kwenye mada,kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya ulazima/uhalali/umuhimu wa kumlidhisha kingono kahaba wakati natoa pesa ndo nipate huduma yake?

Je nisahihi yeye kunambia hajalidhika wakati mimi tayari ambae ndo mtoa pesa?

Kwani nkiacha kumlidhisha kuna madhara gani kwangu wakati huduma yake naipata kwa pesa?[emoji120]
La haina haja

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kama tunavyoelewa kuwa kahaba ni mwanamke anaetoa huduma ya ngono kwa pesa ili kujiweka sawa kiuchumi au kimatumizi.Nafahamu zipo tafsiri nyingi na pana zaid juu ya neno kahaba.

Niende kwenye mada,kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza juu ya ulazima/uhalali/umuhimu wa kumlidhisha kingono kahaba wakati natoa pesa ndo nipate huduma yake?

Je nisahihi yeye kunambia hajalidhika wakati mimi tayari ambae ndo mtoa pesa?

Kwani nkiacha kumlidhisha kuna madhara gani kwangu wakati huduma yake naipata kwa pesa?[emoji120]
Akitaka umridhishe naye inabidi akulipe..hivyo yaani
 
Back
Top Bottom