Kuna ule msemo "Nawapeleka watoto wakamuone baba yao"

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Wanaume wanaosema usioe Mwanamke mwenye mtoto siwapingi aisee think umeowa mwanamke umemkuta na watoto halafu inafika Jumapili anakwambia nampeleka mtoto kwa baba yake anahitaji kumuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ile feeling

Ila msishahu mwanaume anayetakiwa kukataa Single mother ni yuke asiye na mtoto tu, kama una mtoto hii haikuhusu
 
Wenye heshima kdg kama kuna mzazi anakaa mji huohuo atakua anawapeleka kwa bibi/babu yao na huyo mzazi mwingine anawafata huko, kunakua hakuna direct contact au hata kama kuna ndugu mwengine aidha shangazi,mjomba, baba wadogo/wakubwa watoto wanapelekwa huko na huyo mzazi mwingine ndo anawafata huko
 
Hahahh haka kafeeling kanauchoma moyo aseeee
 
 
Hata kama una mtoto kataa Singo maza, Kwenye vikao huwa hauhudhurii?
 
Kwani ukiwa na mtoto hatasema nataka nimpelekee baba yao watoto
 
N ngumu kumuamini kwenye hy ishu mana tayar ameshazaa nae, ila ww kama mwanaume n kumuwekea limit tuu kwenye hiyo ishu na kama mwanamke anajitambua n lazima afuate unachomwambia
Apa bado aijafika mkichwa😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…