Politics na utendaji wa kazi ni vitu viwili tofauti sana, hata Mh. Dr JK anawasimamia watu wenye Phd za ukweli na wengine wakiwa ni ma Prof., kabisa wakati yeye anadokta isiyokuwa na Masterz.
Sikubaliani na hilo waziri anatakiwa awe na Elimu ya kutosha kwa sababu ndiye msimamizi wa shughuri zote za wizara.Politics na utendaji wa kazi ni vitu viwili tofauti sana, hata Mh. Dr JK anawasimamia watu wenye Phd za ukweli na wengine wakiwa ni ma Prof., kabisa wakati yeye anadokta isiyokuwa na Masterz.