kuna umhimu gani wa wakuu wa shule kuwa na shahada?

venance H

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
41
Reaction score
24
Baadhi ya Wajumbe wa kamati ya kuchunguza matokeo mabaya ya kidato cha nne iliyoundwa na mh pinda walibabaini kuwa ,
kiwango kidogo cha Elimu(diploma) kwa wakuu wa shule ni Moja ya sababu iliyochangia matokeo hayo. Lakini baadae mhe rais alimteua naibu waziri wa elimu mwenye Elimu ya diploma. Hii ni imekaaje?
 
Majanga....!hata waziri wa afya aliyeteuliwa ni AMO!only in Tanzania.
 
Politics na utendaji wa kazi ni vitu viwili tofauti sana, hata Mh. Dr JK anawasimamia watu wenye Phd za ukweli na wengine wakiwa ni ma Prof., kabisa wakati yeye anadokta isiyokuwa na Masterz.

heeee,unamaanisha mkuu wa kaya hana MASTERS
 
Politics na utendaji wa kazi ni vitu viwili tofauti sana, hata Mh. Dr JK anawasimamia watu wenye Phd za ukweli na wengine wakiwa ni ma Prof., kabisa wakati yeye anadokta isiyokuwa na Masterz.

Sikubaliani na hilo waziri anatakiwa awe na Elimu ya kutosha kwa sababu ndiye msimamizi wa shughuri zote za wizara.
 
Back
Top Bottom