Kuna umihimu wa kuwa na askari wa mahakama sio askari magereza wa polisi

Kuna umihimu wa kuwa na askari wa mahakama sio askari magereza wa polisi

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nilikuwa nafikiria hii kitu sababu ya kesi inayoendelea ya mchongo ya Lissu. Ila nikajiuliza kwa nini magereza wanajipa majukumu ya mahakama wakati sio ofisi zao.

Ukiangalia kazi ya askari magereza ni kukufikisha mahakamani na kukubizi kwa askari ambo ni wa mahakama.

Askari wa mahakama majukumu yake yapo mahakamani tu kama na order itakayotumwa ukamatwe pindi kesi labda hipo na ujafika,au kupelekewa ombi la kukamatwa mfano marekani kama umefunguliwa kesi mahakamani na upewa notsi ya kukamatwa uletwe mahakamani ni jambo la askari wa mahakama kukumata na kukufikisha mahakamani.

Na wanauwezo kama askari wengine wa kukukamata.
aasadsadas.jpg
Message-from-the-Sheriff3-956c40b4.jpeg
show_image.jpg
 
Back
Top Bottom