Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 904
- 1,036
Ni kweli kabisa ila haya maisha mkuu hayana formula ukipata kikubwa akatokea ndugu anauhitaji usisite kumsaidia mpaka asimame na miguu yake. Wema unalipa trust me nao ndio hivyo wakisimama na miguu yao wasogee wapishe wengine, kuna shangazi yangu, binamu yangu mmoja alifika Dar kutafuta maisha kaingia leo kesho anapewa mbwa amuoshe mbwa nusu amngate kuoshwa hataki basi tafarani. Binamu akakaza saivi katoboa na alitoka hapo kwa shangazi kitambo sana saizi shangazi akimuona anajichekesha kama chizi kaona jalala jipya .. shame on her!